| Value |
Category |
| 1 |
miwani |
| 2 |
shimesikio |
| 3 |
kioo cha kukuzia |
| 4 |
kioo cha darubini/ kioo |
| 5 |
machapisho yaliyokuzwa |
| 6 |
nukta nundu (braille) |
| 7 |
Mkalimani wa lugha za alama |
| 8 |
faksi |
| 9 |
Kibao cha kuandikia nukta nundu (portable writting frame) |
| 10 |
Komputa |
| 11 |
Kiti cha magurudumu |
| 12 |
magongo ya kutembelea |
| 13 |
fimbo za kutembelea |
| 14 |
fimbo nyeupe |
| 15 |
muongozaji |
| 16 |
Kisaidizi cha kusimamia |
| 17 |
Taa ya kuashiria ugongwaji wa mlango |
| 18 |
Simu yenye mlio mkubwa |
| 19 |
Saa yenye mtetemo |
| 20 |
Mikanda maalum |
| 21 |
viti vya kuogea |
| 22 |
Kitako cha kiti cha chooni kinachorekebishika |
| 23 |
Kiti chenye huduma ya choo kwa chini |
| 24 |
Kingo salama |
| 25 |
Vifaa vya kusaidia kula |
| 26 |
Visaidizi vya kushikia vitu |
| 27 |
Visaidizi vya kufungulia vyombo |
| 28 |
Vifaa vinavyotumika bustanini kwa ajili ya walemavu wasio na |
| 29 |
Kompyuta na teknologia kwa wasioona au walemavu wa viungo |
| 30 |
Vinginevyo |
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.