IHSN Survey Catalog
  • Home
  • Microdata Catalog
  • Citations
  • Login
    Login
    Home / Central Data Catalog / TZA_2017_HBS_V01_M / variable [F3]
central

Household Budget Survey 2017-2018

Tanzania, 2017 - 2018
Get Microdata
Reference ID
TZA_2017_HBS_v01_M
Producer(s)
National Bureau of Statistics
Metadata
DDI/XML JSON
Created on
Jan 16, 2021
Last modified
Jan 16, 2021
Page views
38204
Downloads
586
  • Study Description
  • Data Dictionary
  • Downloads
  • Get Microdata
  • Data files
  • HHmaster
  • INDmaster_0
  • poverty
  • S12B
  • S12C
  • S12D_1
  • S12D_2
  • S17D
  • 2017-18 HBS
    Dataset_Poverty_TZHH_website
    - STATA.dta

5.6o Other reasons not to attend school? (S5_6o)

Data file: INDmaster_0

Overview

Valid: 1484
Type: Discrete
Start: 571
End: 722
Width: 152
Range: -
Format: character

Questions and instructions

Categories
Value Category Cases
##N/A## 656
44.2%
ALIACHA 1
0.1%
ALIACHA KUTOKANA NA KUUGUA 1
0.1%
ALIACHA MASOMO AKIWA DARASA LA 4 1
0.1%
ALIACHA SHULE 5
0.3%
ALIACHA SHULE AKIWA DARASA LA NNE. 1
0.1%
ALIACHA SHULE NA KWA SASA NI MZEE 1
0.1%
ALIACHIA DARASA LA TANO 1
0.1%
ALIFUKUZWA SHULE 1
0.1%
ALIKOSA MAHITAJI YA SHULE 1
0.1%
ALIKOSA MKOPO 1
0.1%
ALIMSABABISHIA UJAUZITO MWANAFUNZI MWENZAKE 1
0.1%
AMEACHA KUSOMA SHULE 2
0.1%
AMECHOKA KWENDA SHULE 1
0.1%
AMEKATAA KUSOMA SHULE YEYE MWENYEWE 1
0.1%
AMEKATAA SHULE 1
0.1%
AMEOA NA ANA FAMILIA 1
0.1%
AMEOA NA MAJUKUMU NI MENGI SANA ILA ANATAMANI KUZOMA SHULE SANA 1
0.1%
AMEOLEWA 6
0.4%
ANALIMA WATOTO 1
0.1%
ANATUNZA FAMILIA YAKE 1
0.1%
Adhabu na viboko shuleni 1
0.1%
Aliacha 5
0.3%
Aliacha Kwa kushawishiwa na Rafiki zake (Peer Pressure) 1
0.1%
Aliacha akiwa darasa la nne 1
0.1%
Aliacha bila sababu 1
0.1%
Aliacha kwasababu ya matatizo ya magonjwa 1
0.1%
Aliacha shule 22
1.5%
Aliacha shule Kwa kukosa Vifaa vya shule 1
0.1%
Aliacha shule akiwa darasa la pili 1
0.1%
Aliacha shule kwa sababu ya kuugua 1
0.1%
Aliacha tu shule bila sababu maalum 1
0.1%
Aliacha tu shule mwenyewe 1
0.1%
Aliachia shule 1
0.1%
Aliachia shule 1
0.1%
Aliamia kwama makosa shule ya apa miteja mzazi alipoambaiwa afuatilie uwamisho wa mtoto wake alishindwa na atimaye alishindwa kusajiliwa shule ya miteja 1
0.1%
Aliamua kuacha tu shule hakuna sababu ya msingi 1
0.1%
Aliamuwa kuacha shule tu. 1
0.1%
Alianza kucheza ngoma za asili 1
0.1%
Alicha akiwa darasa la tano 1
0.1%
Alifeli darasa la saba 1
0.1%
Alifeli kidato cha pili. 1
0.1%
Alifukuzwa Shule 1
0.1%
Alifuli darasa la saba. 1
0.1%
Alikata shule 1
0.1%
Alikataa kuendelea na shule 1
0.1%
Alikataa shule 1
0.1%
Alikatishwa na Baba yake Mzazi kwa ajili ya kuolewa. 1
0.1%
Alikatiza masomo zamani 1
0.1%
Alikomea Darasa la nne (Hakumaliza) 1
0.1%
Alikomea darasa la pili.kwa sasa anahudumia familia 1
0.1%
Alikosa Ada 1
0.1%
Alikosa Ada ya shule 1
0.1%
Alikosa ada 1
0.1%
Alikosa wa kumsomesha 2
0.1%
Alikosa wa kumuendelea ingawaje alifaulu darasa la saba 1
0.1%
Alikoswa fedha 1
0.1%
Alikoswa pesa ya mtihani 1
0.1%
Alikua anaumwa 2
0.1%
Alikua anaumwa miguu 1
0.1%
Alikuwa Na majukumu ya kulea watoto wake Ikiwemo kuwasomesha 1
0.1%
Alikuwa anachunga ng'ombe 1
0.1%
Alikuwa anafanya kazi na kwa sasa amestaafu 1
0.1%
Alikuwa anaishi na mama wa kambo ikapelekea kutoendelea na masomo 1
0.1%
Alikwisna hitimu sasa Anafamilia 1
0.1%
Aliolewa akaachika 1
0.1%
Alipata ujauzito 2
0.1%
Alipatwa na ajari ya kugongwa na pikipiki nakupatwa na ugonjwa wa kuanguka 1
0.1%
Alipoanza kuugua aliacha shule 1
0.1%
Alishindwa mtihani 1
0.1%
Alishindwa Shule 1
0.1%
Alishindwa kuendelea 1
0.1%
Alishindwa kumaliza shule 1
0.1%
Alishindwa mtihani 1
0.1%
Alishindwa shule 2
0.1%
Alisnindwa kusoma na kuandika akaamua kuacha. 1
0.1%
Aliugua 2
0.1%
Aliugua mguu 1
0.1%
Aliugua sana 1
0.1%
Ameacha shule 3
0.2%
Ameacha shule bila sababu ya msingi 1
0.1%
Ameajiliwa 1
0.1%
Ameamua tu kuacha 1
0.1%
Amefaulu elimu ya msingi mwaka 2017, sasa anafuatilia uhamisho ili aendelee na shule ya sekondari 1
0.1%
Amefukuzwa 1
0.1%
Amejiajiri mwenyewe. 1
0.1%
Amekata kuendelea na shule 1
0.1%
Amekosa Ada ya shule 1
0.1%
Amekuwa mtu mzima 1
0.1%
Amemaliza darasa la saba na amefauru mtihani wa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani 1
0.1%
Amemaliza na amechaguliwa kidato cha kwanza ila hana mahitaji 1
0.1%
Amemaliza naanaendelea na maisha ya kuolewa na kiuchumi 1
0.1%
Amemaliza shule na anajishughulisha na kazi zake 1
0.1%
Amemaliza shule siku nyingi na ameoa 1
0.1%
Amemkosa mtu wa kumsaidia kulipa gharama za shule na sare za shule 1
0.1%
Ameoa 2
0.1%
Ameoa hawezi kusoma kwa sasa 1
0.1%
Ameoa na anahudumia familia 1
0.1%
Ameolewa 20
1.3%
Ameolewa anaangalia familia 1
0.1%
Ameolewa kwa hiyo analea familia 1
0.1%
Ameolewa na anafamilia 1
0.1%
Ameolewa. 3
0.2%
Ameorewa 1
0.1%
Amepumzika 1
0.1%
Ameshahitimu shule ya sekondari 1
0.1%
Ameshakuwa mkubwa sana 1
0.1%
Amesimama kwasababu ya tatizo la kifedha. 1
0.1%
Amestaafu 1
0.1%
Ana familia 1
0.1%
Ana kazi nyingi 1
0.1%
Ana majukumu ya kifamilia. 1
0.1%
Ana subiri muda wa kujiunga na chuo cha ufundi 1
0.1%
Anaangalia Familia 1
0.1%
Anaendesha shughulizake zakiuchumi 1
0.1%
Anafamilia 3
0.2%
Anafanya kazi 1
0.1%
Anafanya biashara 2
0.1%
Anafanya kazi 4
0.3%
Anafanya kazi za kiuchumi 1
0.1%
Anafanya kazi(Ameajiriwa) 1
0.1%
Anahudumia familia 1
0.1%
Anaitunza familia yake 3
0.2%
Analea Familia 1
0.1%
Analea familia yake 1
0.1%
Analea mtoto kwa sasa 1
0.1%
Analea mtoto wake 1
0.1%
Analea watoto wake 1
0.1%
Anamatatizo ya akili 1
0.1%
Anamtoto analea 1
0.1%
Anapigania maisha ya watoto wake 1
0.1%
Anashughulika na kuwapeleka watoto shule. 1
0.1%
Anasomesha watoto 1
0.1%
Anasomesha wengne 1
0.1%
Anasubiri kupangiwa shule 1
0.1%
Anasubiri kwenda Chuo 1
0.1%
Anasubiri majibu ya mtihani wa darasa la saba 1
0.1%
Anasubiri matokeo ya kidato cha nne. 1
0.1%
Anasubiri uchumi utengamae 1
0.1%
Anasubiria Kujiunga na Kidato cha Kwanza 1
0.1%
Anasubiria matokeo ya mtihani 1
0.1%
Anasubiria matokeo ya mtihani wa kuhitimu la saba 1
0.1%
Anategemewa na wanae. 1
0.1%
Anatunza familia 4
0.3%
Anatunza familia yake 2
0.1%
BABA MWENYE NYUMBA 1
0.1%
BABA MZAZI ALIKATAA WATOTO WAKE KUSOMA KUSOMA HII NI KWA SABABU YA ULEVI 1
0.1%
Baada ya mama kutalakiana na baba alibaki nyumbani akiwa mlezi wa wadogo zake 1
0.1%
Baba wa familia 1
0.1%
Baba ake alikataa kumsomesha kwa sababu alikua ni mtoto wa kike 1
0.1%
Baba ameshindwa kuniendeleza 1
0.1%
Baba mkubwa ambae alinilea alikuwa hapendi nisome 1
0.1%
Baba na familia 1
0.1%
Baba wa familia 2
0.1%
Baba wa familia , Mkuu wa Kaya na nategemewa 1
0.1%
Bado mlezi hajapata fedha za kununua vifaa vya shule 1
0.1%
Bado sinafanya maamuzi 1
0.1%
ELIMU ALIYOHITIMU INATOSHA 1
0.1%
Eneo alilohamia hapakuwa na Shule 1
0.1%
Familia 1
0.1%
Fedha za kulipia ada 1
0.1%
HAKUHITIM 1
0.1%
HAKUMALIZA SHULE KAISHIA DARASA LA PILI 1
0.1%
HAKUMALIZA SHULE KWASABABU YA MATATIZO YA AFYA 1
0.1%
HANA ADA 1
0.1%
Hajaanza masomo Kidato cha Kwanza 1
0.1%
Hakuandikishwa 1
0.1%
Hakubahatika kufaulu 1
0.1%
Hakuendelea na shule 2
0.1%
Hakufaulu kuendelea na elimu ya sekondari 1
0.1%
Hakumaliza Shule 1
0.1%
Hakumaliza shule 4
0.3%
Hakumaliza shule sababu ya ugonjwa 1
0.1%
Hakuna fedha za kusoma. 1
0.1%
Hakuna masomo ya watu wazima 1
0.1%
Hakuwa na mtu wa kumsomesha 1
0.1%
Hali Mbaya ya uchumi Nyumbani 1
0.1%
Hali ngumu ya kimaisha kwa kutengana kwa wazazi. 1
0.1%
Hali ngumu ya kimaisha yalimpelekea mtoto kutoenda shuleni 1
0.1%
Hali ngumu ya kiuchumi 1
0.1%
Hali ngumu ya maisha 3
0.2%
Hali ya kipato siyo nzuri 1
0.1%
Hali ya maisha ilikuwa ngumu. 1
0.1%
Hali yake ya Uchumi sio nzuri na majukumu mengine ya kifamilia 1
0.1%
Haliacha 1
0.1%
Halifax ngumu ya maisha 1
0.1%
Hamna shule ambayo inayoendana na umri wake 1
0.1%
Hana pesa ya kujisomesha angeendelea na masomo 1
0.1%
Hana fedha za kusoma 1
0.1%
Hana mtu wa kumsomesha 1
0.1%
Hapendi shule 1
0.1%
Imani za kutokusomesha mtoto wa kike 1
0.1%
Jina lake lilichukuliwa na mtu mwingine baada ya yeye kushinda 1
0.1%
KAACHIA SHULE 1
0.1%
KAZI 1
0.1%
KUCHUNGA NG'OMBE 1
0.1%
Kaolewa 1
0.1%
Kazi na shughuli nyingine 1
0.1%
Kifua kinamsumbua 1
0.1%
Kua na shughuli nyingi za kufanya 1
0.1%
Kuachia shule 1
0.1%
Kubanwa na shughuri za kimaisha 1
0.1%
Kuchunga ngo'mbe 1
0.1%
Kufanya biashara 1
0.1%
Kufanya kazi 2
0.1%
Kufariki kwa baba yake 1
0.1%
Kufeli shuleni. 1
0.1%
Kufiwa kwa wazazi wote 1
0.1%
Kuhama eneo 1
0.1%
Kuhama hama kila wakati 1
0.1%
Kuhama makazi muda 1
0.1%
Kuhamia eneo jingine 1
0.1%
Kuhudumia familia 1
0.1%
Kuingia katika makundi mabaya 1
0.1%
Kukosa Barua ya uhamisho 1
0.1%
Kulea Familia 1
0.1%
Kulea watoto 1
0.1%
Kuludia shule Mara kwa mara 1
0.1%
Kuolewa 6
0.4%
Kushindwa kulipia ghalama baada ya mama kufariki 1
0.1%
Kusomesha wajukuu 1
0.1%
Kusomesha watoto 4
0.3%
Kusomesha watoto na kupambana na watoto 1
0.1%
Kusomesha watoto na pia umri umeenda. 1
0.1%
Kutokana na kufiwa na walezi wangu. 1
0.1%
Kutunza Familia 2
0.1%
Kutunza familia 4
0.3%
Kuwatafutia wanangu mahitaji 1
0.1%
Kwa sasa anafamilia. 1
0.1%
Kwenda Kazini 1
0.1%
Kwenda kuchunga mifungo 1
0.1%
Likizo 2
0.1%
Likizo fupi. 4
0.3%
MAJUKUMU MENGI 1
0.1%
MAMA WA NYUMBANI 2
0.1%
MATATIZO YA KIAFYA 1
0.1%
MATATIZO YA KIFAMILIA 1
0.1%
MFANYAKAZI 1
0.1%
MLEMAVU 1
0.1%
MZAZI ALIFARIKI AKAWA ANAISHI KWENYE MAXINGIRA MAGUMU 1
0.1%
MZAZI HAKUONA UMUHIMU. 1
0.1%
Mafanya kazi 1
0.1%
Mahitaji 1
0.1%
Maisha kuhangaika na familia 1
0.1%
Maisha ni magumu 1
0.1%
Majuku ya kifamilia 1
0.1%
Majukumu Ya Familia 1
0.1%
Majukumu kusomesha watoto 1
0.1%
Majukumu ni mengi 1
0.1%
Majukumu pamoja na mahitaji kwaajili ya kusoma ni mengi. 1
0.1%
Majukumu ya familia 10
0.7%
Majukumu ya kazi 1
0.1%
Majukumu ya kifamilia 5
0.3%
Majukumu ya kifamilia na maisha 1
0.1%
Majukumu ya kutunza familia 3
0.2%
Majukumu ya maisha 1
0.1%
Majukumu yamembana 1
0.1%
Mama mwenye familia 1
0.1%
Mama wa Nyumbani 1
0.1%
Mama wa familia 4
0.3%
Mama wa kambo hakupenda niendelee 1
0.1%
Mama wa nyumbani 3
0.2%
Mama yake aliolewa na Mwanaume mwingine Mama, wakahama Kijiji akaacha shule 1
0.1%
Masomo magumu 1
0.1%
Masomo yalimshinda 1
0.1%
Matatizo ya kifamilia 4
0.3%
Mazingira yalichangia kutoendelea na shule 1
0.1%
Mfanya Kazi serikarini 1
0.1%
Mfanyakazi 1
0.1%
Mgonjwa 1
0.1%
Mipango bado kwa sasa 1
0.1%
Mlemavu wa akili 1
0.1%
Mlezi wa familia 1
0.1%
Mtu mzima 2
0.1%
Muajiriwa 1
0.1%
Mume kutokutoa ruhusa 1
0.1%
Mzaza wake alikosa ada 1
0.1%
Mzazi hakuwa na uwezo wa kuniendeleza 1
0.1%
Mzazi hana uwezo wa kufuatilia uhamisho wa mtoto kutoka shule aliyokuwa anasoma mwanzo 1
0.1%
NI MWALIMU 1
0.1%
NI KAMA WA FAMILIA 1
0.1%
NIHALI YA UMASIKINI 1
0.1%
Naona muda wa shule umeshapita 1
0.1%
Natunza familia 1
0.1%
Ni Baba wa familia na Mkuu wa Kaya 1
0.1%
Ni Baba wa familia na anategemewa 1
0.1%
Ni Baba wa familia na ni Mkuu wa Kaya 1
0.1%
Ni Mama wa familia 1
0.1%
Ni Mama wa familia na Mkuu wa Kaya 1
0.1%
Ni Mama wa familia na mke wa Ndugu Bakari Ahmed Mkiramwene 1
0.1%
Ni Mama wa familia na mke wa mkuu wa Kaya 1
0.1%
Ni Mkuu wa Kaya na mama wa familia 1
0.1%
Ni baba mwenye familia. 1
0.1%
Ni baba wa familia 1
0.1%
Ni mama wa familia na mke wa mkuu wa Kaya 1
0.1%
Ni mama wa familia. 1
0.1%
Ni mfanyakazi 1
0.1%
Ni mgongwa Kwa mad mrefu 1
0.1%
Ni mkuu wa kaya 1
0.1%
Ni mkuu wa kaya na ana majukumu mengi katika kaya yake 1
0.1%
Ni mtu mzima na familiya 1
0.1%
Ni mtu mzma na anategemewa na familia 1
0.1%
Ni mwalimu 1
0.1%
Nilikuwa mgonjwa 1
0.1%
Nimeajiriwa 1
0.1%
Nimehitimu darasa la saba najiandaa kuingia kidato cha kwanza 1
0.1%
Nimetosheka na elimu 1
0.1%
Nimlemavu wa akili 1
0.1%
Pesa hakuna za kuendelea kusoma 1
0.1%
Ruhusa kazini 1
0.1%
SABABU NYINGINE ZA KIFAMILIA 1
0.1%
Sababu nyingine za kifamilia 1
0.1%
Sababu ya utafutaji wa kipato. 1
0.1%
Sababu za kifamilia 3
0.2%
Sababu za kifamilia ( kutengana kwa wazazi) 1
0.1%
Sababu za kifamilia,Ila wana mpango wa kumpeleka Shule. 1
0.1%
Shida ndogondogo Za nyumbani 1
0.1%
Shughuli za kifamilia 1
0.1%
Sijuwi kama alisoma 1
0.1%
Sivutiki ya taaluma ya kusoma kwa sasa pamoja na kubanwa na majukumu ya kifamilia 1
0.1%
Tangu amalize elimu ya diploma Hanna ajira 1
0.1%
Taratibu za uhamisho zilisumbua 1
0.1%
Tulifutwa shuleni darasa zima kwa kosa laudanganyifu wa mtihani kwa baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba mwaka 1992 1
0.1%
UGONJWA 1
0.1%
UKOSEFU WA ADA 1
0.1%
UWEZO MDOGO WA KUMBUKUMBU 1
0.1%
Ugonjwa 1
0.1%
Ugonjwa, aliugua masikio 1
0.1%
Ugumu wa maisha 1
0.1%
Ukosefu wa pesa 1
0.1%
Uliugua akalazimika kuacha shule 1
0.1%
Umri umeenda 2
0.1%
Umri umeenda. 1
0.1%
Umri umepita 1
0.1%
Utovu wa nidhamu 1
0.1%
Uzembe wake 1
0.1%
WAZAZI KUKOSA PESA YA KUMPELEKA SHULE 1
0.1%
Wakati huo shule ilifutiwa matokeo 1
0.1%
Walishindwa kushughulikia uhamisho wake 1
0.1%
Wamefunga shule 1
0.1%
Wazazi hawakuwa na ufahamu wa kusomesha watoto hasa jinsia ya Kike 1
0.1%
Wazazi wake walifariki 1
0.1%
Wazazi walifariki Akiwa Mdogo. 1
0.1%
Wazazi walihama 2
0.1%
Wazazi walimuachisha shule 1
0.1%
Yatima Baada ya wazazi kufarik hakuendelea 1
0.1%
Yupo kazini 1
0.1%
Za kifamilia 1
0.1%
ada 1
0.1%
akufaulu kwenda sekondari 1
0.1%
aliacha 9
0.6%
aliacha , aje Pwani kutafuta maisha 1
0.1%
aliacha darasa la kwanza kwa sababu ya kuumwa 1
0.1%
aliacha should na anamji wake 1
0.1%
aliacha shule 10
0.7%
aliacha shule mwenyewe 2
0.1%
aliacha shule na wazazi walimuacha tu 2
0.1%
aliacha shule sababu ya kuchunga ng'ombe 1
0.1%
aliacha wazazi waliama 1
0.1%
aliachia njiani. 1
0.1%
aliachishwa masomo akiwa awali baada ya baba yake kufariki. 1
0.1%
aliachishwa na bibi yake 1
0.1%
aliachishwa na kwenda kuchunga 1
0.1%
aliachishwa shule 1
0.1%
aliachiswa na baba ake 1
0.1%
aliamua mwenyewe kuacha baada ya kuona sio muhimu 1
0.1%
alichukuliwa kuhudumia mgonjwa 1
0.1%
alifukuzwa shule 1
0.1%
alihamia sehemu nyingine 1
0.1%
aliishia darasa la 6 1
0.1%
aliishia darasa la nne baada ya mzee kuoa mke mwingine 1
0.1%
aliishia njiani 1
0.1%
aliishiia darasa la sita 1
0.1%
alikataa 1
0.1%
alikataa kuendelea kusoma 1
0.1%
alikataa kuendelea na shule 1
0.1%
alikataa shule 1
0.1%
alimua kuacha 1
0.1%
alioa 1
0.1%
aliolewa 2
0.1%
aliona haelewi 1
0.1%
aliozeshwa 1
0.1%
alipata ajali 1
0.1%
alipofariki baba ndo ukawa mwisho wa masomo 1
0.1%
alishaacha 1
0.1%
alishamaliza 1
0.1%
alishindwa kusoma kaona hakuna umuhimu 1
0.1%
alishindwa kusoma kwasababu zakiuchumi zilizoikabili familia 1
0.1%
alishindwa kutokana na adhabu shulen 1
0.1%
alishindwa kwasababu ya matatizo ya magonjwa 1
0.1%
alitelekezwa na wazazi wake 1
0.1%
aliugua 1
0.1%
aliumwa 1
0.1%
ameacha 4
0.3%
ameacha shule 3
0.2%
ameajiliwa 1
0.1%
ameajiriwa 1
0.1%
ameanza kilimo 1
0.1%
amebanwa na majukumu 1
0.1%
amehamia eneo jingine imebidi asubirie tena mwaka ujao 1
0.1%
amejiajiri 1
0.1%
amekata shule 1
0.1%
amekataa shule 1
0.1%
amemaliza dalasa la saba 1
0.1%
amemaliza kidato cha nne.kaolewa 1
0.1%
amemaliza shule 1
0.1%
ameoa 2
0.1%
ameoa ana familia 1
0.1%
ameoa na anafamilia 1
0.1%
ameolewa 27
1.8%
ameolewa na anafamilia 1
0.1%
ameolewa na ni mama wa nyumbani 1
0.1%
amepumzika ataendelea na elimu baadae 1
0.1%
ameshakua mtu mzima 1
0.1%
amesitisha ili mwaka ujao arudie tena 1
0.1%
amestaafu 4
0.3%
amukumu ya kifamilia 1
0.1%
ana familia 2
0.1%
anafanya kazi 3
0.2%
anafanya shughuli zake 1
0.1%
anafanya shughuli zake za kilimo 1
0.1%
anahudhuria shule 1
0.1%
anaitunza Kaya 1
0.1%
anaitunza kaya 1
0.1%
anajipanga 1
0.1%
anajishughulisha na mambo mengine 1
0.1%
analea familia 2
0.1%
analea familia yake 1
0.1%
analea familiya yake 1
0.1%
analea mtoto 1
0.1%
analea watoto 2
0.1%
anamambo mengi 1
0.1%
anamatatizo ya macho 1
0.1%
anameolewa lakini hakumaliza shule 1
0.1%
anasomesha watoto 1
0.1%
anasubili kutafutiwa shule 1
0.1%
anasubiri matokeo 1
0.1%
anasubiri nafasi za kazi 1
0.1%
anatafuta maisha kwanza 1
0.1%
anatafuta pesa sasa hivi 1
0.1%
anategemewa na ndugu zake (familia) 1
0.1%
anatunza familia 7
0.5%
anatunza familia yake 3
0.2%
baba Mzazi hakutaka asome 1
0.1%
baba hataki kumsomesha 1
0.1%
baba wa familia 2
0.1%
baba yake alifungwa 1
0.1%
biashara 1
0.1%
employed 2
0.1%
familia ilitengana 2
0.1%
haelewi akiwa darasani 1
0.1%
haelewi darasani 1
0.1%
hakumaliza masomo ya elimu ya msingi 1
0.1%
hakumaliza shule 1
0.1%
hakumaliza shule Akawa ameolewa 1
0.1%
hakuna kipato cha kuendelea kusoma 1
0.1%
hakuna kipato cha kumwendeleza kusoma 1
0.1%
hakuna sababu 1
0.1%
hakuna shule ya kujiendeleza hapa kijijini 1
0.1%
hakuna wa kumsomesha 1
0.1%
hali ngumu ya maisha 1
0.1%
hali ngumu ya maisha anapenda kusoma 1
0.1%
hali ya maisha kwa wazazi ni ngumu 1
0.1%
hali ya maisha na uchumi 1
0.1%
hameolewa 1
0.1%
hana Ada ya kulipa Ili aendelee na masomo 1
0.1%
hana pesa ya kuendelea na shule 1
0.1%
hayupo ni Marehemu 1
0.1%
huduma 1
0.1%
huduma ilikuwa hafifu 1
0.1%
kaacha shule 1
0.1%
kazi 2
0.1%
kazini 1
0.1%
kipato kidogo na majukumu 1
0.1%
kubwa na ameolewa 1
0.1%
kuchunga 1
0.1%
kuchunga mifugo 1
0.1%
kuchunga ng'ombe 1
0.1%
kufakwa wazazi 1
0.1%
kufanya kazi shambani 1
0.1%
kuhama 3
0.2%
kuhama kwa wazazi 2
0.1%
kuhama shule 1
0.1%
kuhamahama kwa wazazi 1
0.1%
kuhitilafiana kwa wazazi 1
0.1%
kuhudumia familia 2
0.1%
kujifunza ufundi 1
0.1%
kujitegemea 1
0.1%
kukosa hela ya nguo za shule 1
0.1%
kukosa uwezo wa kumsomesha 1
0.1%
kulea familia 1
0.1%
kulea watoto 1
0.1%
kuolewa 4
0.3%
kupata ajira 1
0.1%
kutengana kwa wazazi 1
0.1%
kutunza familia 2
0.1%
kuugua 1
0.1%
kuumwa 1
0.1%
kuwa kama mlezi wa wagonjwa 1
0.1%
kwasababu ameolewa na anafamilia 1
0.1%
kwasababu anafamilia 1
0.1%
likizo 3
0.2%
majukum ya kazi 1
0.1%
majukumu 2
0.1%
majukumu ha familia 1
0.1%
majukumu ya familia 2
0.1%
majukumu ya kifamilia 7
0.5%
majukumu ya kifamilia na kiuchumi 1
0.1%
majukumu ya kimaisha 2
0.1%
majukumu ya kimaisha na familia 1
0.1%
majukumu ya kimaisha na hali ya kiuchumi 1
0.1%
majukumu ya maisha 1
0.1%
majukumu ya ndoa 1
0.1%
majukumu yakifamilia 1
0.1%
mama aliugua 1
0.1%
mama anafanya kazi zake 1
0.1%
mama wa nyumbani 1
0.1%
mama wa familia 9
0.6%
mama wa nyumbani 3
0.2%
mamukumu ha kifamilia 1
0.1%
matatizo ya familia 1
0.1%
matatizo ya kifamilia 5
0.3%
matatizo yakifamilia 1
0.1%
mazingira magumu ya familia 1
0.1%
mchimbaji mdogo mdogo wa madini 1
0.1%
mdogo sana 1
0.1%
mfanyakazi wa serikali 1
0.1%
mgogoro wa kijiji 1
0.1%
mkulima 2
0.1%
mstahafu 1
0.1%
mtoro 1
0.1%
mtu mzima 1
0.1%
mtu mzima Ameolewa 1
0.1%
mtu mzima analea watoto 1
0.1%
mtu wa kumsomesha hayupo 1
0.1%
muda hautoshi 1
0.1%
muda na majukumu ya familia yanabana 1
0.1%
mwalimu wa shule ya msingi 1
0.1%
mzazi hakupenda kunipeleka shule 1
0.1%
nasubiria ndoa ipite alafu nisome 1
0.1%
natarajia kuendelea 1
0.1%
ndugu hakupenda asome 1
0.1%
ni baba wa familia 2
0.1%
ni mama wa familia 1
0.1%
ni mtu mzima 1
0.1%
ni mwajiliwa wa kulipwa 1
0.1%
ni mwalimu 1
0.1%
ni mwalimu wa shule ya msingi 1
0.1%
niliacha shule 1
0.1%
nilishindwa kuendelea sababu sikuwa na pesa ya kujiendeleza 1
0.1%
niliugua Muda wa mwaka mmoja ndiyo ikawa sababu ya kuacha shule 1
0.1%
niliumia mguu 1
0.1%
nimama wa familia 1
0.1%
nimeolewa 1
0.1%
sababu ya wazazi kutengana 1
0.1%
sababu za kifamilia 3
0.2%
sababu za kiuchumi 1
0.1%
self employed 1
0.1%
shughuli binafsi 1
0.1%
shule ilifungwa (hakuna shule) 1
0.1%
sina kipato cha kuendelea kusoma 1
0.1%
tatizo la akili 1
0.1%
uchumi 1
0.1%
ugonjwa 2
0.1%
ugonjwa wa macho 1
0.1%
ugumu wa maisha 1
0.1%
uhamisho haujakamilika 1
0.1%
ukorofi tu 1
0.1%
ukosefu wa kalo ya shule 1
0.1%
umri umeenda 1
0.1%
umri umeshapita 1
0.1%
utafutaji 1
0.1%
utoro 1
0.1%
uwezo 1
0.1%
uwezo ndogo Wa maisha 1
0.1%
vyuomvya ufundi vimejaa hadi januari 1
0.1%
walihama 1
0.1%
walihama akaacha shule 1
0.1%
walipanga kumuanzisha mwakani 1
0.1%
wazazi wamefariki 1
0.1%
wazazi awakuwa na uwezo 1
0.1%
wazazi hawakuona umuhimu wa shule 1
0.1%
wazazi hawakuwa na uwezo 1
0.1%
wazazi wake wakati huo walimfunga kwa waganga wa kienyeji ikashindikana kwake kwenda shule. 1
0.1%
wazazi walifariki akakosekana wa kumwezesha kielimu 1
0.1%
wazazi walihama 1
0.1%
wazazi walishindwa kutokana na ukosefu wa hela 1
0.1%
wazazi walitengana 1
0.1%
wazazi wamehama 1
0.1%
za kifamilia 1
0.1%
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
IHSN Survey Catalog

© IHSN Survey Catalog, All Rights Reserved.