IHSN Survey Catalog
  • Home
  • Microdata Catalog
  • Citations
  • Login
    Login
    Home / Central Data Catalog / TZA_2013_ES-INNOV_V01_M / variable [F1]
central

Enterprise Survey 2013

Tanzania, 2013 - 2014
Get Microdata
Reference ID
TZA_2013_ES-INNOV_v01_M
Producer(s)
World Bank
Metadata
DDI/XML JSON
Study website
Created on
Sep 05, 2014
Last modified
Mar 29, 2019
Page views
9832
Downloads
329
  • Study Description
  • Data Dictionary
  • Downloads
  • Get Microdata
  • Related Publications
  • Data files
  • tanzania_2013_innovation_data

How the main innovative product/service is different than the most similar one? (hb7x)

Data file: tanzania_2013_innovation_data

Overview

Valid: 70
Type: Discrete
Start: 225
End: 394
Width: 170
Format:

Questions and instructions

Literal question
Please describe in detail how the main innovative product or service is different than the most similar product or service, if any, previously produced by this establishment
Categories
Value Category
Bidhaa hii inatofauti naile ya mwanzo kwa kuwa hii mpya ni heavy duty na imara sana kuliko ile ya mwanzo.
Bidhaa mpya bunifu hutusaidia kuyehusha vyuma kwa ubora zaidi na tofauti na mwanzo ilikuwa ni kupika vyuma tu
Hapo awa thamani zilizokuwa zinatengenezwa hazikuwa za kisasa ni thamani zilizokuwa zimepitwa na wakati
Hapo mwanzo tuliwapatia soda kwenye chupa za glass,lakini sasa hivi tunawapatia soda abiria wetu zikiwa kwenye chupa ya plastics.
Hii ni bora zaidi kuliko ile ya mwanzo kwa sababu inatuingizia wateja wengi kutokana na huduma tuliyoboresha.
Hotel ilikuwa na uwezo wa kupokea wageni 20 peke yake ila sasa hotel inauwezo wa kupokea wageni zaidi ya 50 kulingani na kuongezeka jengo lingine la hotel
INATUMIA KOKOTO NA RANGI NA MCHANGA NA SARUJI. ZA MWANZO NI SARUJI NA MCHANGA TU
It was in order not to be a member
Many customers
Mwanzo vitanda vya mbao za miembe sasa mbao za mdf
Mwanzo walikua wanatoa maji kwa wateja sasa wanatoa vinywaji raini
Mwanzo waliuza vinywaji na chakula kwa sasa wanakodisha na ukumbi
Mwanzon waliuza dawa tu na kutoa kwa njia ya cash sasa hivi wanauza vipimo vya malaria na ukimwi na pia wanatoa kwa credit
Mwanzon waliuza maziwa na vitafunwa yaan bites kwa sasa wanauza vyakula na soda
Mwanzoni walikua wanatumia walinzi (watu) sasa wanatumia cctv camera
Mwanzoni walikuwa wanasafirisha mizigo kwa magari ya kukodi ila kwa sasa wanasafirisha kwa magari ya ofisini waliyonunua
Mwanzoni walikuwa wanauza soda za kampuni ya pepsi tu lakini kwa sasa wanauza na za kampuni ya cocacola
NILIKUWA NAUZA VIFAA VYA MAGARI.
Ni bidhaa ambazo zinatumia mbao kila sehemu kwa mfano meza miguu ni mbao hata top ya juu ni mbao pia labda mteja ahitaji top ya kioo
Ni uboreshwaj wa vitanda mwanzon vilikuwa vya kawaida kwa sasa vinaitwa peneli vina mabawa makubwa kwa mbele ya kitanda kwa juu .
Photopino ni aina ya zamani katika inatofautiana na monalisa kwakua inatengenezwa kwa leather na kitambaa na monalisa inatengenezwa kwa kitambaa na miundo yake ni tofauti
Utengenezaji wa magari
Was selling beef
Welding and brick making
YA KWANZA ILIKUWA YA KITUMIA MKONO LAKINI YA SASA NI YA AUTORMATIC MASHINE NI BORA ZAIDI.
Zamani tulishona magauni ya vitenge tu sasa tunashona suti za kina mama
Zamani tulitengeneza madirisha ya aluminiam sasa madirisha ya chuma
Zamani tuliuza thamani zandani tu kwa sasa tunatengeneza na milango
bidhaa za mwaka wa fedha 2010-2012 zinatoka china
biter lemon haina sukari kama soda zingne zilivyo na sukari
haina tofauti sana na ambayo tunayo ila hii ni mchanganganyiko wa malighafi tofauti
haitofautiani sana
hakuna
hakuna maelezo
hudama ya kwanza tulikuwa tuna tengeneza fanicha za wateja lakini sasa tunatengeneza na kuuza
huduma bunifu inasaidia kufikisha bidhaa kwa wakati tofauti na zamani ambapo ilikuwa inapoteza muda
huduma bunifu tunawapelekea wateja bizaa yetu ya majani ya chai sehemu waliyopo huduma ya zamani walikuwa wanafuata wenyewe
huduma kuu tunatengeneza vifaa kwa kutumia aluminiam na huduma nyingine tunatengeneza kwa kutumia mbao
huduma mpya tunauza nguo hudima ya zamani tulikuwa tuna shona nguo bila kuuza
huduma ya mwanzo tulikuwa tunashona nguo tu lakini hudima mpya tunauza na nguo na kushona
huduma ya mwanzo tulikuwa tunashona tu huduma ya sasa tunashona na kuuza
huduma ya mwanzo tulikuwa tunatengeneza faniture huduna ya sasa tuna uza fa niture
huduma ya mwanzo wateja walikuwa wanafuata wenyewe huduma ya sasa tunawapelekea
huduma ya mwanzotulkuwa tunatengeneza faniture kwa kutumia mbao lajini lakini huduma ya sasa tunatenfeneza kwa kutumia aluminium na vioo
huduma ya sasa bunifu inasaidia katika suala zima la muda kwa mf. Badala yakufanya kazi ya siku tatu kazi humalizika ndani ya siku 2
huduma ya zamani ilikuwa inachukua muda mwingi kufanya kazi moja lakini huduma ya sasa inasaidia kumaliza kazi kwa wakati
huwa niya kuchonga ambayo ni kubuni kwa uelewa wa kifundi au kichwani mwake.
inasaidia kutunza muda
it is recycled
kuboresha biashara
matumizi ya mitambo ili kufanikisha kazi ifanyike kwa urahisi zaidi
mbali na mafunzo ya kompyuta pia tumeanzisha mafunzo ya kiingereza kwa baadhi ya wanafunzi (english course)
mwanzo wateja walikuwa wanafuata nyama wenyewe ila sasa wanaweza kupelekewa hadi nyumbani
mwanzon twiga walitengenezwa kwa kusimama kwa miguu yao wenyewe sasa hivi wametengenezewa kibao au stand kwa ajili ya kusimamia
mwanzoni nilitengeneza kochi za kawaida sasa natengeneza kochi za sofa.
mwanzoni palitengenezwa flame za madirisha na milango ya geti kwa sasa wanatengeneza na vitanda vya chuma
mwanzoni paliuzwa vinywaji tu kwa sasa wanauza na chakula
mwanzoni tulikuwa tunauza balbu ba nyaya za umeme.
mwanzoni tulikuwa tunauza matairi ya michirizi midogo ila sasa hadi za magari.
mwanzoni tunauza vinywaji lakini kwasasa tunauza chakula.
mwanzoni walikuwa wanachonga lakini kwasasa wanasuka.
mwanzoni walikuwa wanauza vocha lkn kwasasa wanatumia mashine ya selcom
mwanzoni waliuza magodoro ya aina nyngne kama vita raha na magodoro dodoma kwa sasa wanauza na magodoro ya confyn
ni kubwa kuliko ys kwanza.Ko inakidhi mahitaji
sasa hivi kazi inamalizika ndani ya muda mfupi ukilinganisha na zamani
tofauti huduma hii huwa tunawapitia watu majumbani na kuwafungia
tulikuwa tunazalisha bomba za size ya ml 20
zamani kulikuwa na pub kwasasa wana duka.
zamani tulikuwa tunatumia malighafi za mbao lakini sasa hivi tunatumia chuma na mbao
zamani wafanyakazi walikuwa hawatumii mitambo mf.Mashine lakini sasa hivi huduma imeboreshwa zaidi
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
IHSN Survey Catalog

© IHSN Survey Catalog, All Rights Reserved.